Mwanzo 47:24 BHN

24 Wakati wa mavuno, sehemu moja ya tano mtampa Farao. Sehemu nne zitakazobaki zitakuwa mbegu na chakula kwa ajili yenu na jamaa zenu na watoto wenu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:24 katika mazingira