10 Macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee. Basi, Yosefu akawasogeza wanawe karibu na baba yake, naye akawabusu na kuwakumbatia.
Kusoma sura kamili Mwanzo 48
Mtazamo Mwanzo 48:10 katika mazingira