11 Kisha Israeli akamwambia Yosefu, “Sikutazamia kuuona uso wako tena; lakini, kumbe, Mungu amenijalia hata kuwaona watoto wako!”
Kusoma sura kamili Mwanzo 48
Mtazamo Mwanzo 48:11 katika mazingira