Mwanzo 48:13 BHN

13 Yosefu akawainua wanawe wawili, Efraimu katika mkono wake wa kulia, akimwelekeza kwenye mkono wa kushoto wa baba yake, na Manase katika mkono wake wa kushoto, akimwelekeza kwenye mkono wa kulia wa baba yake, akawasogeza kwa babu yao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:13 katika mazingira