Mwanzo 48:14 BHN

14 Lakini Israeli akaipishanisha mikono yake: Mkono wake wa kulia akauweka juu ya kichwa cha Efraimu, ingawa alikuwa mdogo, na mkono wake wa kushoto akauweka juu ya kichwa cha Manase, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza.

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:14 katika mazingira