Mwanzo 48:21 BHN

21 Kisha Israeli akamwambia Yosefu, “Kama uonavyo, mimi niko karibu kufa. Hata hivyo, Mungu atakuwa pamoja nanyi, na kuwarudisheni katika nchi ya babu zenu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:21 katika mazingira