Mwanzo 48:20 BHN

20 Basi, Israeli akawabariki siku hiyo, akisema,“Waisraeli watayatumia majina yenu kubarikia,watasema, ‘Mungu akutendee mema kama Efraimu na Manase!’”Ndivyo Israeli alivyomweka Efraimu mbele ya Manase.

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:20 katika mazingira