Mwanzo 48:19 BHN

19 Lakini baba yake akakataa, akisema, “Najua, mwanangu, najua. Wana wa Manase pia watakuwa taifa kubwa na mashuhuri. Hata hivyo, ndugu yake mdogo atakuwa mkuu kuliko yeye, na wazawa wake watakuwa mataifa mengi.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:19 katika mazingira