Mwanzo 48:18 BHN

18 Akamwambia baba yake, “Sivyo, baba! Huyu hapa ndiye mzaliwa wa kwanza. Tafadhali, uweke mkono wako wa kulia juu ya kichwa chake.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:18 katika mazingira