Mwanzo 48:3 BHN

3 Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:3 katika mazingira