Mwanzo 48:4 BHN

4 Aliniambia, ‘Tazama, nitakufanya uwe na wazawa na uongezeke; nitakufanya uwe babu wa jamii kubwa za watu. Ardhi hii nitawapa wazawa wako, waimiliki milele.’”

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:4 katika mazingira