Mwanzo 48:5 BHN

5 Yakobo akaendelea kusema, “Wanao wawili uliowapata hapa Misri kabla sijafika, ni wanangu; Efraimu na Manase watakuwa wangu kama walivyo Reubeni na Simeoni.

Kusoma sura kamili Mwanzo 48

Mtazamo Mwanzo 48:5 katika mazingira