Mwanzo 50:2 BHN

2 Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:2 katika mazingira