Mwanzo 50:3 BHN

3 Kama kawaida, siku arubaini zilihitajika kwa kazi hiyo. Wamisri nao wakaomboleza kifo cha Yakobo kwa muda wa siku sabini.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:3 katika mazingira