Mwanzo 50:4 BHN

4 Baada ya matanga kumalizika, Yosefu akawaambia watu wa jamaa ya Farao, “Ikiwa nimekubalika mbele yenu, tafadhali zungumzeni na Farao kwa niaba yangu kwamba baba yangu aliniapisha, akisema,

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:4 katika mazingira