Mwanzo 50:5 BHN

5 ‘Mimi karibu nitafariki. Yakupasa kunizika katika kaburi nililojichongea katika nchi ya Kanaani.’ Kwa hiyo namwomba aniruhusu niende kumzika baba yangu, kisha nitarudi.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:5 katika mazingira