Mwanzo 50:22 BHN

22 Yosefu akaendelea kukaa katika nchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka 110.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:22 katika mazingira