Mwanzo 50:23 BHN

23 Yosefu alijaliwa kuwaona watoto na wajukuu wa mwanawe Efraimu, na pia kuwapokea kama wanawe watoto wa Makiri mwana wa Manase.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:23 katika mazingira