Mwanzo 50:24 BHN

24 Baadaye Yosefu aliwaambia ndugu zake, “Mimi sasa ninakaribia kufa. Lakini Mungu hakika atawajia kuwasaidia. Atawatoa katika nchi hii na kuwapelekeni katika nchi aliyowaapia Abrahamu, Isaka na Yakobo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:24 katika mazingira