Mwanzo 50:25 BHN

25 Kisha Yosefu akawaapiza wana wa Israeli, akisema, “Mungu atakapowajia kuwasaidia, hakikisheni kwamba mmeichukua mifupa yangu kutoka huku.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:25 katika mazingira