Mwanzo 50:26 BHN

26 Basi, Yosefu akafariki kule Misri, akiwa na umri wa miaka 110. Nao wakaupaka mwili wake dawa usioze, wakauweka katika jeneza kule Misri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:26 katika mazingira