Mwanzo 50:7 BHN

7 Basi, Yosefu akaondoka kwenda kumzika baba yake akifuatana na watumishi wote wa Farao, wazee wa nyumba ya Farao, pamoja na wazee wa nchi nzima ya Misri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:7 katika mazingira