Mwanzo 50:8 BHN

8 Hali kadhalika, Yosefu alifuatana na jamaa yake yote, ndugu zake na jamaa yote ya baba yake Yakobo. Katika eneo la Gosheni walibaki watoto wao tu pamoja na kondoo, mbuzi na ng'ombe wao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 50

Mtazamo Mwanzo 50:8 katika mazingira