Mwanzo 7:16 BHN

16 Kila aina yao waliingia, dume na jike, kama Mungu alivyomwamuru Noa. Kisha, Mwenyezi-Mungu akaufunga mlango wa safina nyuma yake Noa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 7

Mtazamo Mwanzo 7:16 katika mazingira