Mwanzo 7:17 BHN

17 Gharika ilidumu nchini kwa muda wa siku arubaini. Maji yakaongezeka na kuiinua safina, ikaelea juu ya ardhi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 7

Mtazamo Mwanzo 7:17 katika mazingira