Mwanzo 8:20 BHN

20 Noa akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akatwaa mmoja katika kila aina ya wanyama walio safi na ndege walio safi, akamtolea Mungu sadaka za kuteketezwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 8

Mtazamo Mwanzo 8:20 katika mazingira