Mwanzo 8:21 BHN

21 Harufu nzuri ya tambiko hiyo ikampendeza Mwenyezi-Mungu, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena nchi kwa sababu ya binadamu; najua kwamba mawazo yake ni maovu tangu utoto wake. Wala sitaangamiza tena viumbe wote kama nilivyofanya.

Kusoma sura kamili Mwanzo 8

Mtazamo Mwanzo 8:21 katika mazingira