Mwanzo 8:22 BHN

22 Kadiri itakavyodumu nchi majira ya kupanda na kuvuna, ya baridi na joto, ya masika na kiangazi, usiku na mchana, hayatakoma.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 8

Mtazamo Mwanzo 8:22 katika mazingira