Mwanzo 9:11 BHN

11 Nathibitisha agano langu nanyi, kwamba, kamwe viumbe vyote hai havitaangamizwa kwa gharika, wala haitatokea tena gharika kuiharibu nchi.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 9

Mtazamo Mwanzo 9:11 katika mazingira