Mwanzo 9:12 BHN

12 Tena Mungu akasema, “Hii ndiyo alama ya agano ninalofanya kati yangu nanyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi kwa vizazi vyote vijavyo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 9

Mtazamo Mwanzo 9:12 katika mazingira