Mwanzo 9:5 BHN

5 Damu ya uhai wenu nitaidai; nitaidai kutoka kwa kila mnyama na binadamu. Atakayemuua binadamu mwenzake, nitamdai uhai wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 9

Mtazamo Mwanzo 9:5 katika mazingira