Swahili Union Version
3Je! Ni vema kwako wewe kuonea,Na kuidharau kazi ya mikono yako,Na kuyaangazia mashauri ya waovu?