Ayu. 4:19

Swahili Union Version

19Je! Si zaidi sana hao wakaao katika nyumba za udongo,Ambazo misingi yao i katika mchanga,Hao waliosetwa mbele ya nondo!

Ayu. 4:19 — SUV