Isa. 30:27 SUV

27 Tazama, jina la BWANA linakuja kutoka mbali sana, linawaka kwa hasira yake, kwa moshi mwingi sana unaopaa juu; midomo yake imejaa ghadhabu, na ulimi wake ni moto ulao;

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:27 katika mazingira