Ezekieli 1:11 BHN

11 Mabawa mawili ya kila mmoja yalikuwa yamekunjuliwa juu na kugusana na kwa mabawa yale mengine mawili walifunika miili yao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 1

Mtazamo Ezekieli 1:11 katika mazingira