Ezekieli 1:12 BHN

12 Popote roho ilipotaka kwenda, walikwenda; kila mmoja wao alikwenda mbele moja kwa moja bila kuugeuza mwili wake.

Kusoma sura kamili Ezekieli 1

Mtazamo Ezekieli 1:12 katika mazingira