7 Miguu yao ilikuwa imenyoka; nyayo za miguu yao zilikuwa kama kwato za miguu ya ndama, nazo zilimetameta kama shaba iliyosuguliwa.
Kusoma sura kamili Ezekieli 1
Mtazamo Ezekieli 1:7 katika mazingira