Ezekieli 11:1 BHN

1 Roho ya Mungu ikaninyanyua na kunipeleka mpaka lango la mashariki la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Huko nikawaona watu ishirini na watano wakiwamo Yaazania mwana wa Azuri na Pelatia mwana wa Benaya, ambao ni viongozi wa Waisraeli.

Kusoma sura kamili Ezekieli 11

Mtazamo Ezekieli 11:1 katika mazingira