Ezekieli 11:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Wewe mtu, hawa ndio watu watungao uovu na kutoa mashauri mabaya mjini humu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 11

Mtazamo Ezekieli 11:2 katika mazingira