Ezekieli 11:5 BHN

5 Kisha roho ya Mwenyezi-Mungu ikanijia, naye akaniambia, “Waambie watu, Mwenyezi-Mungu asema hivi: Naam, hiki ndicho mnachofikiri enyi Waisraeli. Najua mambo mnayofikiria moyoni mwenu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 11

Mtazamo Ezekieli 11:5 katika mazingira