Ezekieli 11:7 BHN

7 “Lakini, mimi, Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Naam, mji huu ni chungu cha kupikia, na wale waliouawa ndio nyama. Nyinyi lazima mtaondolewa mjini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 11

Mtazamo Ezekieli 11:7 katika mazingira