11 Sasa waambie hao manabii wanaopaka chokaa ukuta huo kwamba itanyesha mvua kubwa ya mawe na dhoruba na ukuta huo utaanguka.
Kusoma sura kamili Ezekieli 13
Mtazamo Ezekieli 13:11 katika mazingira