Ezekieli 13:13 BHN

13 Kwa hiyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Kwa ghadhabu yangu nitazusha upepo wa dhoruba na mvua nyingi ya mawe, navyo vitauangusha ukuta huo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:13 katika mazingira