14 Nitaubomolea mbali huo ukuta mlioupaka chokaa, na msingi wake utakuwa wazi. Ukuta huo ukianguka, mtaangamia chini yake. Ndipo mtakapotambua mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 13
Mtazamo Ezekieli 13:14 katika mazingira