Ezekieli 13:15 BHN

15 Hasira yangu yote nitaimalizia juu ya ukuta huo na juu ya hao walioupaka chokaa. Nanyi mtaambiwa: Ukuta haupo tena, wala walioupaka rangi hawapo;

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:15 katika mazingira