Ezekieli 13:19 BHN

19 Mmenikufuru mbele ya watu wangu ili kupata konzi za shayiri na chakula kidogo. Mnawaua watu wasiostahili kufa na kuwaacha hai wanaostahili kuuawa, kwa uongo wenu mnaowaambia watu wangu, nao wanawaamini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:19 katika mazingira