Ezekieli 13:20 BHN

20 “Basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Nitashambulia hirizi zenu mnazowafunga nazo watu; nitazipasuapasua kutoka mikononi mwenu na kuwaacha huru hao mnaowawinda kama ndege.

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:20 katika mazingira