21 Nitazirarua shela zenu na kuwaokoa watu wangu mikononi mwenu; nao hawatakuwa tena mawindo mikononi mwenu. Ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 13
Mtazamo Ezekieli 13:21 katika mazingira