Ezekieli 13:22 BHN

22 Kwa kuwa mmewavunja moyo watu waadilifu kwa kusema uongo, hali mimi sikuwavunja moyo, mkawaimarisha waovu wasiache mienendo yao mibaya na kuokoa maisha yao,

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:22 katika mazingira