Ezekieli 13:7 BHN

7 Basi, nawaulizeni: Je, maono yenu si uongo mtupu na utabiri wenu udanganyifu? Nyinyi mnadai kwamba mnasema kwa jina langu hali mimi sijaongea nanyi kamwe!

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:7 katika mazingira